Vodacom Tanzania imejishindia tuzo ya Uwekezaji Bora Endelevu katika Jamii kwa Makampuni ya Afrika Mashariki kutokana na mradi wake wa kusaidia wajasiriamali wadogo wanawake vijijini wa MWEI. Hafla ya kukabidhi tuzo hizo ilifanyika jana usiku jijini Dar es salaam
-------------------------------
Pichani ni Balozi wa Marekani nchini Tanzania Alfonso Lenhardt akisoma tuzo ya Uwekezaji Bora Endelevu katika Jamii kwa Makampuni ya Afrika Mashariki
2- Chini ni Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa Wateja wakubwa wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba, Balozi wa Burundi nchini Issa Ntambuka(Kulia).Kushoto ni Meneja wa Vodacom Foundation katika masuala ya ustawi wa jamii Mwamvua Mlangwa anaeusimamia mradi huo
2012© Nolniz Blog®

No comments: