Habari tulizozipata asubuhi hii ni zinazomuhusu Mafisango mchezaji wa timu ya Simba dsm AMEFARIKI DUNIA leo majira ya alfajiri eneo la Tazara ambapo alipata ajali akiwa na familia akitokea Maisha Club akiwa anajaribu kumkwepa mwendesha pikipiki!!
Moja ya chanzo chetu cha habari kimesema kuwa Mwenyekiti wa Simba Mh Ismail Aden
Rage amezungumzia hilo na
amethibitisha kifo cha mchezaji huyo wa kimataifa kutoka nchini Rwanda na mwili wa PATRICK MUTENSA MAFISANGO umehifadhiwa Muhimbili.....
Mungu amlaze mahali pema peponi!!
Habari zaidi tutaendelea kukujuza
Hapa hapa
©2012 Nolniz Blog™

No comments: