Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany akiwa amenyanyua juu kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kuwafunga QPR
.
Manchester city iliyoonesha kuzidiwa kwa kiasi fulani mpaka dakika za mwishoni na kuonesha maajabu baada ya kuongeza mabao mawili na kufanya idadi kuwa tatu dhidi ya Queens Park Rangers katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wao wa nyumbani Etihad mjini Manchester, England.
Manchester City wametwaa ubingwa wa Ligi Kuu England kwa tofauti ya mabao dhidi yawapinzani wao wakuu Manchester United.
Kutokana na mechi za jana, Manchester United imeshika nafasi ya pili, Arsenal watacheza Ligi ya Ulaya kwa kushika nafasi ya tatu, Bolton imeshuka daraja
©2012 Nolniz Blog™
Man City | Mabingwa wapya EPL
Reviewed by Nolniz
on
Monday, May 14, 2012
Rating:
Nahodha wa Manchester City, Vincent Kompany akiwa amenyanyua juu kombe la Ubingwa wa Ligi Kuu ya England baada ya kuwafunga QPR .
Manche...
No comments: