Muanzilishi na Boss wa mtandao wa kijamii wa Facebook, Mark Zuckerberg amefunga ndoa jana na mpenzi wake wa muda mrefu Priscilla Chan na kuutangazia ulimwengu kupitia Status yake.
Ndoa hiyo ya billionaire mwenye miaka 28 imefanyika siku moja tuu baada ya Facebook kuanza kuuza hisa zake katika soko la hisa la Nasdaq siku ya Ijumaa!
Katika ukurasa wake wa facebook (Page) Zaidi ya watu 293,000 wali "like"status hiyo ambayo ilisindikizwa na picha yao ya pamoja wakiwa katika tabasamu la siku ya ndoa yao
Haiyaa sasaa namalizia na maneno yake David Singston Matete II "....Mark Zuckerberg status;Married ....hahahaah why wateja wako..status;Single/complicated..."
©2012 Nolniz Blog™

No comments: