Finally Ile Video Ya AY akiwa kamshirikisha Marco Chali imetoka official "Party Zone" ikiwa imetengenezwa na producer Marco Chali
Video hii imechukuliwa nchini South Africa
With good directing skills from THE GODFATHER PRODUCTION
Na imemgharimu AY dolla za kimarekani elfu ishirini (20,000), sawa na milioni thelathini na mbili za kitanzania (32,000,000).

Nimepita tu....:p
ReplyDeleteIpo aje lkn?
DeleteKijana huwa AY huwa anafunguka kikubwa na kiakili sana siku zote na ninamkubali kuliko kawaida.Yuko juu na haogopi kutumia pesa ili kupata pesa.Big up AY
ReplyDeleteSure kaka!! Kijana yupo kimataifa zaidi japo naona Tz hana ile hali ya kukubalika na wengi so na yeye anazidi kukomaa ki International zaidi
DeleteNephew I see you
ReplyDeleteAunt angu amenionea wapiiiiii?
Delete