728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
01 June 2012

DIAMOND: ASANTE WEMA KUPITIA WEWE NIMEKIJUA KIINGEREZA

Unafikiri ingekuwaje kama Deals anazopata kwa sasa The Platinum a.k.a Diamond kama Ngeli isingekuwa njema kwakee???
Leo katika XXL ndani ya Clouds Fm Diamond ametiririka yoote kuhusu kipi na nani anayehusika katika hilo na kumtaja bila hiyana yoyote Wema ( kipindi walipokuwa na mahusiano ya kimapenzi) Kuwa ndiye aliyekuwa teacher wake na ndiye aliyechangia aweze kuongea hicho anachokiweza sasa!!
"Namshukuru sana mama yangu mzazi kwa elimu aliyonipatia na nashukuru sana Wema Sepetu English Course" Diamond ameyazungumza haya leo baada ya kupongezwa kwa kujibu vizuri katika interview aliyoifanya South kwa kiingereza baada ya kupiga show  Big brother Africa.
"Kusema ukweli amenisaidia sana kufanikisha kwangu kujua kiingereza maana alikua akinielekeza sana tulivyokuwa in-love, na nisipo kuwa na shukrani kwa kidogo basi siwezi kuwa na shukrani hata kwa kikubwa"



©2012 Nolniz Blog™
DIAMOND: ASANTE WEMA KUPITIA WEWE NIMEKIJUA KIINGEREZA Reviewed by Nolniz on Friday, June 01, 2012 Rating: 5 Unafikiri ingekuwaje kama Deals anazopata kwa sasa The Platinum a.k.a Diamond kama Ngeli isingekuwa njema kwakee??? Leo katika XXL ndani y...

[][carousel1]

No comments: