728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
25 June 2012

Kiti cha Enzi cha Dhahabu ndani ya Mjengo wa Beyonce & Jay Z

Beyonce mbele ya SOLID GOLD THRONE
Beyonce ameamua kuudhihirishia ulimwengu kiasi cha Pesa walizonazo na na jinsi wanaweza zitumia kwa namna wanayotaka na hilo ni katika picha aliyoiweka kwenye mtandao ikimuonesha akiwa amesimama Mbele ya kiti kikubwa Kilichotengenezwa kwa dhahabu ngumu.
Tofauti na wengi tunavyojua matumizi ya dhahabu hasa katika mapambo ni kunarishia Vito kama pete hereni cheni na vinginevyo na BEYONCE ametumia dhahabu hiyo hiyo kujengea kitu kama unavyokiona katika picha huku ikiwa ni moja kati ya sehemu ya pambo la nyumba yake anayoishi

Kweli pesa zikizidi sana hutokea kutumika kama hivi & Vipi wewe nyumbani kwako / kwenu umetupia kitu gani??? Hebu piga nacho picha alafu share nasi..!!


©2012 Nolniz Blog™
Kiti cha Enzi cha Dhahabu ndani ya Mjengo wa Beyonce & Jay Z Reviewed by Nolniz on Monday, June 25, 2012 Rating: 5 Beyonce mbele ya SOLID GOLD THRONE Beyonce ameamua kuudhihirishia ulimwengu kiasi cha Pesa walizonazo na na jinsi wanaweza zitumia kwa n...

[][carousel1]

No comments: