Mwanadada MirryCandle toka ChugaTown arusha sasa anarelease brand new single yake ambayo ni mahadhi ya afrofusion ilotengenezewa pande za noizmekah.com. Ikiwa ni love joint izungumziayo hisia za mwanadada akiwa ameuvaa uhusika wa secret admirer. Ukimya nauvunja kwa kuahidi fans wangu mfululizo wa ngoma kali mfululizo, video yangu ya candlelight pamoja na audio yake, otherwise much respect kwa wadau wote nchini katika media na majumbani, Pamoja sana
DOWNLOAD HAPA
©2012 Nolniz Blog™
DOWNLOAD HAPA
©2012 Nolniz Blog™
No comments: