Kwa kawaida tunajua mashine za kutolea pesa au kwa jina lingine ATM huwa zinamilikwa na makampuni ya kibank na huwekwa maeneo ya public ambayo mtu yeyote anaweza iona na kuitumia!! Sasa kinyume na hivyo leo tunamuangalia jamaa aliyeamua kuweka mashine hiyo jikoni kwake.
Mchezaji Nyota wa NBA DeShawn
Stevenson ndie mtu wa kwanza kuweka ATM Machine nyumbani kwake tena Jikoni ambapo anaitumia kama zitumikavyo ATM nyingine.
DeShawn inasemekana ilimbidi kulipia mashine hiyo $3,500 na huwa anaitumia na marafiki zake katika ku droo pesa za mwisho mwisho kwa ajili ya matumizi wanapotaka kutoka!!
Nyota huyo wa mpira wa kikapu hatoi huduma hiyo bure kwani huwatoza marafiki zake $4.50 kama ATM fee na kuna zaidi ya $20,000 ndani yake na amesema huwa anaziongeza mara nne kwa mwaka
"I like doing things
that aren't normal and it's cool to have." Ndivyo alivyomalizia DeShawn
©2012 Nolniz Blog™

No comments: