Album ya nne yake Chris Brown imeendelea kufanya vyema wiki hii nzima nchini Marekani, Uingereza na pia nchini Netherland huku ikivunja rekodi yake kwani kimataifa hii ni mara ya kwanza kwa album ya Brown kushika namba moja katika nchi nne tofauti yaani UK, Australia, Japan, na New Zealand pia ikishika No. 1 kama "R&B/Soul" albums katika nchi nyingine 20.
Kwa sasa Album hii ya Chris Brown imeshaenea kote duniani na imeuza zaidi ya Album milioni nane (8).
Huu ni muendelezo wa mafanikio kwa kijana huyu kwani albamu yake aliyoitoa mwaka jana ya F.A.M.E. Ilimpelekea kupata Tuzo za Grammy za mwaka 2012 kama Best R&B Album

No comments: