728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
10 July 2012

ANAYETAKA KUMUOA DIVA AJIANDAE NA MAHARI YA Tsh MILIONI 500

Mtangazaji maarufu wa Clouds FM Diva  Loveness love anayetamba na kipindi chake cha usiku cha Ala za roho amefunguka katika mahojiano na Adam Mchomvu kwa anayetaka kumuoa lazima awe na shilingi milioni 500 kwa ajili ya MAHARI TUU
Katika mahojiano hayo Mchomvu alitaka kujua kama mtu atataka kumtoa nyumbani kwao ajiandae kwa mahari ya shilingi ngapi ndipo Diva akamwambia
"Actual milioni mia tano ela ya kum;leta Beyonce Tz, I need a royal wedding....... "
Je ni kweli mdada ataolewa kwa kiwango hicho hapa Tz?? Yetu masikio na macho tuone jamaa aanyetoa Milioni 500 cash kwa ajili ya kumuoa pesa ambayo Mchomvu mwenyewe anakwambia hiyo pesa yeye bora akafungue kiwanda cha malapa...!!!


Msikilize Diva hapa


©2012 Nolniz Blog™
ANAYETAKA KUMUOA DIVA AJIANDAE NA MAHARI YA Tsh MILIONI 500 Reviewed by Nolniz on Tuesday, July 10, 2012 Rating: 5 Mtangazaji maarufu wa Clouds FM Diva  Loveness love anayetamba na kipindi chake cha usiku cha Ala za roho amefunguka katika mahojiano na ...

[][carousel1]

No comments: