Habari mbaya na zakuhuzunisha katika familia ya Usher zinaeleza kuwa mwanae Tameka Raymond aitwae Kile Glover baada ya kukaa muda mrefu katika life support machine amefariki..!!
Mapema asubuhi ya Leo Kile alitolewa katika life support machine lakini zimetoka habari ambazo familia haijaziongelea bado ila watu wa karibu wa familia hiyo kupitia twitter walionesha huzuni zao kutokana na msiba huo....
Picha hapo juu aliipost Tameka Usiku wa kuamkia leo akimuonesha Marehemu Kile akiwa na mdogo wake.
DJ Greg Street na Frank Ski wote wa Atlanta wali tweet...........
©2012 Nolniz Blog™

R.I.P KILE
©2012 Nolniz Blog™
No comments: