Unakumbuka story ya promoter wa ndondi aliyetangaza dau la Dola Millioni Moja kwa kila mmoja ili Chris Brown na Drake wapimane ubavu ulingoni?? Baasi Chris Brown amekuwa wa kwanza kukubali kuingia ulingoni na kumtibu Drake.
Chris akihojiwa na Mapaparazi nje ya Hollywood Club kuhusiana na isue hiyo alikubali kuzichapa na hasimu wake huyo ulingoni ili kuoneshana nani mbabe zaidi ya mwenzake!!
Kutokana na hilo tunamsubiri tuu Drake naye akubali na ikitokea hivyo mpambano huo utachezeka na mbabe atajulikana kati yao ili maneno mengi yaishe.
©2012 Nolniz Blog™
No comments: