Kama alivyoahidi, rapa 50 Cent ameitoa BURE albamu
inayoitwa "5, Murder By Numbers." Albamu hiyo yenye nyimbo 10
(10-track) ni utangulizi wake ujao wa albamu "Street King Immortal"
Kama ulikosa, 50 cent na Muigizaji Holly Robinson Peete walikorofishana juu ya baadhi ya maoni
waliyotumiana Twitter kuhusu autism katika
kukabiliana na shabiki ambaye alimwambia 50 aitoe album hiyo [bure] au
kupata risasi tena. na 50 kumjibu,“yeah just saw your picture fool you look autistic.” bila kuimalizia na baadaye alipost....
“I dont want no special ed kids on my time line follow some body else,”
Lakini Robinson Peete, ambaye ana umri wa miaka 13 mtoto na autism, alikiri kwamba aliandika
barua ya maombi ya wazi kwa 50 kwenye tovuti yake, Hollyrod.org , na tweet ya 50 cent baadaye
ilifutwa.
KAMA ULIKUWA HUJUI;
Leo ni kati ya siku muhimu kwa CEO WA G-Unit 50 cent kwani siku kama ya leo ndio siku alozaliwa hivyo anatimiza miaka 37 na inawezekana album hii ikawa zawadi kwa fans wake kote ulimwenguni ...!!
HBD kwake,
DOWNLOAD "5, Murder By Numbers". (FREE)
©2012 Nolniz Blog™

No comments: