Akiwa ni moja kati ya wanamuziki wadogo zaidi lakini mwenye mafanikio makubwa katika muziki wa Pop Duniani, Justin Beiber amehitimu masomo yake ya elimu ya juu (High school)
Beiber ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha The "Boyfriend" amehitimu elimu ya Diploma katika shule aliyokuwa akisoma ya St. Michael Catholic Secondary School iliyopo Stratford, Ontario.
Kwa mujibu wa Moja ya chombo cha habari nchini Canada kimemtaja Justin Beiber kuwa ni moja ya wahitimu wa Shuleni hapo
"We are very proud of Justin and all of the other 192 graduates of St. Michael school, however, we're not at liberty to discuss any personal plans or information about Justin or any other graduate," alisema Tim Doherty ambaye ndiye Principal wa St. Mike's
Ila vipi Justin Beiber aliweza kuhudhuria masomo yake pamoja na matamasha yote aliyokuwa anayafanya sehemu mbali mbali duniani? Kuvinjari na mpenzi wake Selena Gomez? Kuchat na followers wake zaidi ya Milioni 24 Twitter na katika utoaji wa perfume yake binafsi???

No comments: