Kupitia Twitter mashabiki wa Usher wameombwa kuchukua nafasi kumuombea mtoto wake na Tameka Foster (mtalaka wake) aliye katika hali mbaya baada ya kupata ajali ya Jet Ski Jumamosi katika Ziwa Lanier Georgia
Awali iliripotiwa kuwa Kyle Glover (mtoto wa Usher) alikuwa ameketi sehemu ya ndani kabisa ambayo ilivunjikia ziwani, na inasemekana kulikuwa na mtoto mwingine wa kike mwenye miaka15 ambaye hajatambuliwa bado katika ajali hiyo. Majeruhi hao wawili walipaishwa Egelston Hospital Atlanta kwa Ndege kwa matibabu zaidi.
Wakati maelezo zaidi bado hayajatoka watu wa karibu na Usher akiwamo wanamuziki mogul Russel Simmons na Fantasia walionesha mchango wao kwa mwanamuziki na familia yake kupitia Twitter....
Russell tweeted: "Praying that Usher and Tameka's son is OK..."
Wakati huo Fantasia naye akatweet :
"Everyone PLEASE pray for Usher and Tameka's son! This is the time they really need your prayers!"
Burgamy aliiambia Atlanta NBC kituo cha TV 11 kwamba, ni mapema mno kusema kama mashtaka yoyote yatafunguliwa lakini pombe haikuwa sababu katika ajali.
©2012 Nolniz Blog™
No comments: