728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
31 July 2012

Mchezaji NFL Ajiua kwa kujipiga Risasi

Mchezaji wa Tennessee Titans, O.J. Murdock, 25, amefariki dunia kwa kujipiga risasi mapema leo Tampa, Florida na Kwa mujibu wa polisi nchini Marekani, Murdock alijiua mbele ya shule aliyokuwa akisoma mjini Tampa.
Timu ya The Titans mwishoni mwa wiki, ilimuweka Murdock katika repoti ya "Did not" report kwamba wachezaji ambao hawajafanya lolote msimu mzima. Mike, Kocha wa  Titans alipoulizwa kuhusu kutoonekana kwa Murdock,  alijibu kuwa ni kwa "Matatizo binafsi" na The Titans ilipotaarifiwa kuhusu hali halisi iliyomkuta mchezaji huyo wamesema wao kama timu wanaendelea na uchunguzi zaidi! Msemaji wa timu alisema Murdock alipatikana akiwa ndani ya gari lake mbele ya Middleton High School mida ya saa mbili asubuhi, na kusafirishwa mpaka
hospitali ya Tampa General Hospital akiwa katika hali mbaya.


Murdock, aliyewahi ichezea South Carolina, na alikaa majeruhi kuanzia mwaka jana mazoezini na kumfanya akae nje msimu mzima. Alihamia Titans kwa mkopo kwani alikuwa " An Drafted free agent mwaka 2011, na kumalizia msimu mzima kama reserve. Hakuwahi kuichezea Titans mchezo wowote ule.

Kihistoria upande wa imani, Murdock alionekana kuwa mtu wa imani, kwani kulingana na akaunti yake ya Facebook, kitabu akipendacho (his favorite book was the Bible, and favorite quote, "I can do ALL THINGS through Christ, who strengthens me" -Philippians 4:13

Rest in peace
Mchezaji NFL Ajiua kwa kujipiga Risasi Reviewed by Nolniz on Tuesday, July 31, 2012 Rating: 5 Mchezaji wa Tennessee Titans, O.J. Murdock, 25, amefariki dunia kwa kujipiga risasi mapema leo Tampa, Florida na Kwa mujibu wa polisi nchini...

[Breaking News][carousel1]

No comments: