Usiku wa kuamkia leo ndani ya Club AQ Arusha zilikuwa ni shangwe za kutosha kwa wakazi wa mji huo walioweza kuhudhuria party iliyoandaliwa special kwa ajili ya Utambulisho wa EBSS 2012. Raia waliweza kujumuika na majaji wa EPIQ BONGO STAR SEARCH Salama Jabir, Madam Ritha pamoja na Masta J katika kula bata na kujuzana mawili matatu yote ya yote kufurahi pamoja!!!
Nolniz Blog ilipenda kujua mengi kuhusiana na isue hiyo ndipo tulipocheki na JahnB kupata stori zaidi naye hakuwa akatujuza yote ya Muhimu.....
DHUMUNI KUU LA SHOW YA JANA
Lengo kuu lilikuwa ni kuwatambulisha majudge kwa hadhira ya Arusha, kufikisha ujumbe kwa watu juu ya EBSS, kula hapi na team nzima ya EBSS na kutoa shavu kwa Zantel ambao ndiyo wadhamini wa shughuli nzima
USAILI NAO UNAENDELEA........
usaili ni leo na kesho kuanzia saa 2 asubuhi pale Triple A, kama mtu hajapata form anaweza akafika eneo la tukio akasaidiwa dk sifuri.
"Mi nazidi kushukuru tu kwa support ambayo inatolewa na massive,,,zaidi na zaidi tutazidi kwenda pamoja,,,na kesho afterparty Jambo Squad ndani ya nyumba,,na mwisho wa siku pia maeneo ya Boda kule vijana watakinukisha pia,,pamojah sana" Akimalizia JanB
So kama wewe ni mkazi wa Arusha na unakipaji nafasi ndo hiyo ya kujitokeza hujachelewa bado
Ukicheki mpango mzima wa kula bata Ratiba nzima ndo kama hiyo mwanzo mwisho hii weekend hutakiwi kukosa
©2012 Nolniz Blog™

No comments: