Kutokana na kitendo ambacho wengi hawakukitegemea na kilichowashangaza wengi, Msanii The Game aliamua kuifutilia mbali ndoa yake iliyokuwa imebakiza siku chache tuu kufungwa!
The Game na Tiffney Cambridge walionekana katika mapenzi mazito siku za karibuni na katika hatua za mwisho mwisho walionekana wakifanya manunuzi kwa ajili ya maandalizi ya harusi yao na hapakuwa na mtu yeyote aliyetegemea kama kitu chochote kingeibuka na kuharibu mipango hiyo...
Kupitia Twitter Game aliwaomba marafiki, wazazi, ndugu na wote waliokerwa au huzunishwa kwa kitendo chake cha kuiairisha ndoa yake na kumtetea mwenzake kwamba sio chanzo cha kutengana kwao!
Kutokana na hali ilivyo inaonekana sio kwamba tuu ndoa hiyo imeahirishwa bali Game na Tiffney hawapo kwenye mahusiano tena..!!

No comments: