728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
19 July 2012

Wanadada Effect Zero na Anthem yao mpya

Effect Zero, kundi la wanadada wawili Wanyamwezi toka Arachuga wanadrop again na Anthem mpya "EffectZero" ikiwa ni ngoma ya hiphop inayowaelezea zaidi kama kundi kimziki,"this is a hiphop joint we recorded at noizmekah.com kwa Def na we know y'all gonna love it"asema Simaloi. Kundi hili lenye maskani yake pande za Njiro Arusha linafanya music kwa lugha ya kiingereza na hii ni kwa lengo la kuteka soko la kimataifa zaidi na wapo mbioni kushoot video ya kwanza ambayo bado haijafahamika ni ya ngoma gani."We really need y'all support kwa sana in promoting our music,we work hard for our fans" says Doraine.all in all big up sana tu kwa Batoo entertainment & Jamdropa deejays plus media zinazosupport muziki wetu,we love yall....




©2012 Nolniz Blog™
Wanadada Effect Zero na Anthem yao mpya Reviewed by Nolniz on Thursday, July 19, 2012 Rating: 5 Effect Zero , kundi la wanadada wawili Wanyamwezi toka Arachuga wanadrop again na Anthem mpya " EffectZero " ikiwa ni ngoma ya hip...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: