Katika email nliyotumiwa yenye huu wimbo Didge ft Collo - Kipusa sijaambiwa kama jamaa ni mtanzania au wa wapi ila Chorus ipo katika kiswahili ila kama ni hivyo basi watanzania tumeshapanda level nyingine kabisa maana ukiusikiliza kama mbele vile level za Kina Chris na wengine!! Thanx Def Xtro kwa ku share na Congrats to Didge ft Collo kwa kazi nzuri.
Vizuri lazima tuvisifie...
©2012 Nolniz Blog™
Vizuri lazima tuvisifie...
©2012 Nolniz Blog™
No comments: