728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
02 August 2012

Effect zero waonyesha uwezo juu ya beat la wajamaica

Wimbo huu toka kwa effect zero ni matokeo ya freestyl na hatimaye uamuzi wa kuweka sauti sambamba na kundi la REC la kule jamaica katika wimbo wao wa ting deh,Effect zero wakiwa na official tracks zao binafsi,wametokea tu kuupenda ting deh na hatimaye kuuaribia mdundo huo kama vile Mangwea alivoharibia ile track ya Marques Houston-Clubbin" kipindi kileee.hapa ting deh ya effect zero ndo bongoversion, strictly for fun...enjoy 
Credits ziwaendee R.E.C na  DJ Mido plus noizmekah.com kwa kutupa mzuka



Pia cheki original Video ya wajamaica.....



©2012 Nolniz Blog™
Effect zero waonyesha uwezo juu ya beat la wajamaica Reviewed by Nolniz on Thursday, August 02, 2012 Rating: 5 Wimbo huu toka kwa effect zero ni matokeo ya freestyl na hatimaye uamuzi wa kuweka sauti sambamba na kundi la REC la kule jamaica katika wim...

[Video][carousel1]

No comments: