728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
23 August 2012

Lily Wayne atakiwa kuomba msamaha umma kwa kudhalilisha jiji la New York

Seneta Malcolm Smith amekerwa na Diss ya Lil Wayne kuelekea jiji la NYC na imempelekea kumtaka rapa huyo kutoka YMCMB, kuomba msamaa wakazi wa mji huo na umma kwa ujumla.
Lil Wayne amekumbwa na mkasa huo ikiwa ni kufuatia habari kwamba, Lil Wayne alisema "nje ya magorofa" yaliyopo New York City, hamna kitu kingine kinachomfurahisha wala kumpendeza kinachopatikana ndani ya jiji hilo ambalo ni moja kati ya majiji makubwa zaidi duniani.

Seneta Smith ametamka rasmi katika Times Square akimtaka Weezy F kuomba msamaha kwa umma kutokana na kauli yake hiyo ambayo yeye ameiona ni kama kuushushia hadhi au kuudhalilisha mji huo na katika Taarifa kwa vyombo vya habari Seneta anaeleza kwamba;

  New York City ndipo zaliko la harakati za mziki wa Hip Hopi. Mamilioni ya wanaoishi New York husikiliza muziki wake kila siku. Maoni yake ni outraged wake mashabiki mitaa na wakazi. Wengi leo wanadai nyota huyo wa hip hop awaombe  msamaha.
 Lil Wayne hivi karibuni imekuwa na bahati mbaya kwake katika mji wa New York kwa madai ya hivi karibuni ya kukutwa na bunduki na pia kutumikia kifungo.

Smith Seneta ataungana na wanachama wa wajumbe wa baraza la vijana wa hip-hop na maofisa utalii kuongea na wanahabari kuhusiana na 'Matusi' kama wanavyoyaita wao maneno ya Wizzy

Wenzetu Marekani hata mji ukisemwa vibaya kama hivyo inakuwa ni bonge moja la isue, vipi hii sheria nayo iletwe pia na huku kwetu?

 ©2012 Nolniz Blog™
Lily Wayne atakiwa kuomba msamaha umma kwa kudhalilisha jiji la New York Reviewed by Nolniz on Thursday, August 23, 2012 Rating: 5 Seneta Malcolm Smith amekerwa na Diss ya Lil Wayne kuelekea jiji la NYC na imempelekea kumtaka rapa huyo kutoka YMCMB, kuomba msamaa wakazi ...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: