Hii ni Project itakayotoka hivi karibuni, Mpya na ambayo haijapata kutokea katika historia ya music wa Hip Hop ndani ya Arusha na Tanzania kwa ujumla. Ikiwa imekusanya wasanii tofauti tofauti, vichwa vingi na vikali ambapo wasanii wakongwe wa music wa Hip Hop ndani ya Arusha au waweza iita HIP HOP CITY na pia wapo wapya ambao hawana majina makubwa bado (underground) Katika hiyo
cypher kuna wasanii wengi kama Chabba, JCB , Daz Naledge, Bou Nako, Chalii Mtoto wa Bibi, Dogo Tundu, FI Do, Lavosti, Bad Taito, Slaz,Age, Gentriez, Yung Omega,FBG (Fly But Ghetto),Bou Nako,Fim Rebol, chini ya Wanene Ent..
'Hapo chini ni baadhi ya Picha za wakati wa shooting ya video hiyo'
|
MACHIZI WA UTENGWANI WAKISHOOT VIDEO YA CYPHER PANDE ZA FNOUK STUDIO |
|
BABA LA MABABA CHABA NAE ALIKUWEPO KWENYE VIDEO YA CYPHER |
|
MO PLUS AKISHOOT VIDEO YA CYPHER PANDE ZA FNOUK STUDIO |
|
VATOLOCO WAKIWA NA DOGO TUNDU WAKISHOOT VIDEO YA CYPHER PANDE ZA FNOUK STUDIO |
|
AGE KTK VIDEO YA CYPHER PANDE ZA FNOUK STUDIO |
Wanene's In The House!
©2012 Nolniz Blog™
No comments: