Kundi la MeccaCheka lenye makazi pande za Arusha Chini mtaa wa Cheka Ung'atwe na Mecca Mambele wanakupa "pole".Brand new pini la klub zaidi waloshirikiana na mwanadada toka pande za Kenya "Kakii" aliyezimika na mdundo na idea ya machiz hivyo kupelekea kuweka vocals juu ya mdundo wa kwaito.Meccacheka ikiwa ni crew inayoundwa na RizzyChafu Pamoja na Mwirora,linaendelea kupanda chati pande za kaskazini hii ikiwa ni pini lao la tatu hewani.Kwa mawasiliano zaidi cheki nasi kupitia 0654879598 Aireeeeeeeeee!!!!!!!!
©2012 Nolniz Blog™
©2012 Nolniz Blog™
No comments: