728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
24 August 2012

New Track | Anapita aja na Reggae "A call"

Anapita aja na Reggae "A call",ikiwa ni brand new track toka pande za noizmekah.com juu ya riddim la kijamaica "heart & soul riddim", Nimeimba kuhusu kufata ndoto zetu katika maisha,Kuondokana na dhana potofu kuwa maisha yana formula flani.Shule ni muhimu sana katika kuturahisishia maamuzi maishani,Pasipo uelewa na maarifa,Maisha huonekana magumu zaidi,Matumizi ya vilevi kupita kipimo ama hata kujihusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya yote ni matokeo ya kupuuza malengo endelevu na kufata mikumbo.A call ni inspirational reggae song ambayo kwa haraka ni rahisi kuiweka katika category ya Gospel ambayo ni sawa pia,kwani kazi yangu kama artist, especially wa kike kuelimisha vijana wenzangu.Enjoy and support Tanzanian Music

©2012 Nolniz Blog™
New Track | Anapita aja na Reggae "A call" Reviewed by Nolniz on Friday, August 24, 2012 Rating: 5 Anapita aja na Reggae " A call ",ikiwa ni brand new track toka pande za noizmekah.com juu ya riddim la kijamaica "heart ...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: