Watundu Squad, Kundi la madogo watundu wa kurap Juu ya Beat za Wanene Ent Arusha akiwepo Dogo Tundu pamoja na YungSoja wanaonyesha uwezo katika pini hili Chalii ya ara ikiwa ni kwa hisani kubwa na udhamini wa Vatoloco Soldiers baada ya madogo kupewa nafasi katika summer jam concert pale Stadium Arusha wakati wa show ya StopaRhymes, FidoVato ameonyesha support kubwa kwa kutuwezesha kupiga track pande za noizmekah.com kwa Defxtro so hii ni kwa ajili ya mashabiki zetu wote wa Hiphop tunakuja kwa spidi ya risasi
©2012 Nolniz Blog™
©2012 Nolniz Blog™
No comments: