Ikiwa ni tamasha la kwanza kabisa la aina yake kufanyika jijini Arusha kwa mwezi wa Agosti 2012,Mambo Jambo Summer Jam ilifanyika siku ya Jumapili pale Sheikh Amri Abeid Stadium tarehe 19 ikiwa ni siku ya Idd El Fitr ilifana sana kwa umati wa wakazi zaidi ya elfu nne toka Arusha,
Wasanii wote waliowakilisha katika tamasha walishangiliwa vilivyo na hakika mashabiki walifurahia burudani hiyo ilotolewa kwa hisani kubwa ya Mambo Jambo Radio 93.0 FM Arusha.Much love kwa fans wote wa Muziki Arusha na mambojamboradio.com
©2012 Nolniz Blog™

Zaidi ya burudani |
Bou Nako na mashabiki kutoka Arusha |
Mashabiki wqakilisogelea jukwaa kupata burudani kwa ukaribu zaidi |
Msanii Tiger akilishambulia vilivyo jukwaa |
Ni G-Nako, Abdulaziz wa Nyeusi na Nikki wa Pili katika poz |
Sehemu ya jukwaa palipokuwa pakisababishwa |
©2012 Nolniz Blog™
No comments: