Msanii wa kizazi kipya anayefanya bongo hip hop ROMA, amepata ajali mbaya barabara ya Morogoro akielekea kwenye show yake mchana huu. Roma anasema alikuwa yupo kwenye mwendo wakawaida ndipo tairi la mbele la gari lake lilipopata pancha na ndipo gari likaacha njia na kwenda kugongana uso kwa uso na fuso ambalo lilikuwa upande wa pili na gari lake dogo alilokuwa akiliendesha kurudi lilipotokea.
Roma ameniambia (Choka) kwa sasa anaelekea Hospital kwa "check up zaidi" ila aliokuwa nao kwenye gari hakuna aliyeumia wote ni wazima.
Sehemu ya mbele la gari |
Kioo cha Gari baada ya ajali |
Gari baada ya ajali |
©2012 Nolniz Blog™
pole sana jembe cha msingi roho bdo ipo hayo machuma au mabati usiwaze yapo tu utaripea jembe kafanye kazi
ReplyDelete