728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
06 August 2012

Wimbo mpya wa Drake ft Aaliyah (Enough Said) wawakera mashabiki

Huku akiendelea kuonesha uhai wa upendo wake na Aaliyah bado haujaisha jana Drake aliachia wimbo wake mpya akiwa kamshirikisha Late Aaliyah (Enough Said) msanii mahiri katika miondoko ya Pop aliyewika sana enzi za uhai wake na kama ulikuwa ukiufuatilia mziki kipindi hicho lazima anamtambua mwanadada huyu Aaliyah.
Pamoja na mapokeo mazuri ya wimbo huu, mashabiki wengi na marafiki wa karibu wa Aaliyah wametokea kumlaumu Drake kutokana na kitendo chake cha kufanya ngoma yake bila kuwaomba ruhusa wahusika wakuu wa kazi za Aaliyah ambao ni Timbaland na Missy Elliot.Katika mahojiano aliyoyafanya na Power 105’s The Breakfast Club, Timbaland mwenyewe amesema

“I know they trying to drop some Aaliyah records, but if he do it, it should be with me and Missy. The proper way for him to do that would be for me, him and Missy to be all on the record. But to put it on his record, would just not be right.”
Usikilize wimbo huo hapa

DOWNLOAD HAPA

©2012 Nolniz Blog™
Wimbo mpya wa Drake ft Aaliyah (Enough Said) wawakera mashabiki Reviewed by Nolniz on Monday, August 06, 2012 Rating: 5 Huku akiendelea kuonesha uhai wa upendo wake na Aaliyah bado haujaisha jana Drake aliachia wimbo wake mpya akiwa kamshirikisha Late Aaliyah ...

[News][carousel1]

No comments: