Bendi ya Twanga pepeta na Mapacha watatu Zaungana kikazi,hapa ikiwa ni collabo nzito kati ya waimbaji toka Bendi hizi kubwa katika mziki wa Dansi Tanzania,Nyimbo hii inayokwenda kwa jina la "ni yeye" yenye mapigo ya "Zouk" imetengenezwa studio za NK Production chini ya Mtayarishaji "Christon" hivyo mashabiki wanajipatia brand new ladha toka kwa January eleven aka Januarytop wa Mapacha watatu akishirikiana vilivyo na jembe toka Twanga "DogoVena" ambao ndio watunzi na waimbaji katika track hii.Shukran tele kwa watu wetu wa karibu katika muziki,Kwa mawasilano/mahojiano +255 653 940 445.
Enjoy
©2012 Nolniz Blog™
No comments: