G Nako
George Sixtus Mdemu, maarufu kama G Nako ni mtoto wa pili katika familia ya watoto watatu,akiwa mtoto wa kiume pekee katika familia yao,alizaliwa Arusha,akasoma Meru Primary na baadaye Nangwa Tech. Alianza muziki mwaka 1999 akiwa ndani ya kundi la Chronic Mob pamoja na Bou Nako na baadaye mwaka 2004 alihamia kundi la Nako 2 Nako, baadhi ya hits alizohusika ni pamoja na Ndo Zetu, Bang, Right Here na Bado Ngware,amewahi kufanya kazi na wasanii kama Lord Eyz,Joh Makini,The Artist na AY
Nikki Wa Pili |
Wote G Nako na Niki wa Pili watakua katika wimbo wa 'Wazi',utakaowashirikisha wasanii wengine kama Cannibal,Nakaaya,Mo Plus,JCB,Bonta,Thai aka Tha 1,Tricky D.T pamojah na Slim Deezy na Joes toka North Dwellers
John Blass Mallya
For,
Grandmaster Records, Mega Music, Cannibal Shattah & Makini Music
+254729990851,+255787276352
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
©2012 Nolniz Blog™
No comments: