728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
29 September 2012

BIOGRAPHY | SLIM DEEZY & JOES


Joes(Big Geors)



Jina kamili George Ntwale Sengati,anajulikana sana kama Biggie,mtoto wa sita katika familia ya mzee Sengati,ni mzaliwa wa Arusha,alianza muziki mwaka 1998 akiwa solo, alitambulika zamani kama X Dogg, maarufu sana kwenye stage perfomances za miaka hiyo akiwa na akina JCB na Spark Dogg, mwaka 2004 yeye pamoja na wasanii wengine walitengeneza kundi la North Dwellers ambalo ndo yumo mpaka sasa,baadhi ya wasanii aliowahi kufanya nao kazi ni pamoja na Nakaaya na Joslin,ns nyimbo zinazotambulika ni kama Press Play na Dough for sure.


Slim Deezy

 Slim Deezy
Jina kamili Mike David(Mikidadi), member wa kundi la North Dwellers,ni mzawa wa Arusha mwenye makazi mitaa ya Njiro Kontinero,alianza muziki mwishoni mwa mwaka 1999,nje ya muziki ni mbunifu mzuri wa logo na graphics mbalimbali,anapendwa zaidi kwa uwezo wake wa kubadilisha flow ili kuendana vizuri na instrumental,anapenda sana kuhakikisha kazi binafsi na za kundi zinakwenda inavyotakiwa,baadhi ya wasanii aliofanya nao kazi ni pamoja na Nakaaya,Joslin,Mo Plus na B Man



North Dwellers
 John Blass Mallya
 For,
 Grandmaster Records, Mega Music, Cannibal Shattah & Makini Music
+254729990851,+255787276352
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com

 ©2012 Nolniz Blog™
BIOGRAPHY | SLIM DEEZY & JOES Reviewed by Nolniz on Saturday, September 29, 2012 Rating: 5 Joes(Big Geors)

[Biographies][carousel1]

No comments: