Akiiwakilisha N2N, G.M.F na Weusi kwa ujumla, G-Nako ama waweza muita G-Wara Wara ameamua kuifanyia Rmx ngoma yake ya Bado Ngware ambayo mwanzo aliifanya akiwa amemshirikisha Peter Msechu. Katika Rmx ya 'BADO NGWARE' G Nako ameiambia Nolniz Blog kupitia Mweusi, Abdulaziz wa Nyeusi kwamba ngoma hiyo sasa atakuwepo Yeye mwenyewe G-Nako, Nikki wa Pili, Fundi Samweli pamoja na mwanadada Sarah..!!
Pia Gnako ameongelea juu ya Video yake na Marlow inayoitwa 'Kipepeo' director wa video hiyo akiwa ni Johnson Lujwangana
Mbali na kazi zake hizo mbili mpya, pia ameitonya Nolniz Blog kuwa video ya Lord Ez "Sanaa" na ya Joh Makini "Manuva" zimemalizika kushootiwa na Panchito Del Manchin hivyo fans wakae mkao wa kula kwani vitu hivyo vyote hivyo vikali yaani Bado Ngware Rmx, Kipepeo aliyomshirikisha Marlow, Video ya Sanaa yake Ez pamoja na Manuva ya Joh ni kwa ajili yao na vitakapokamilika vitasomeka pande hizi so stay tune mzeee!!
©2012 Nolniz Blog™

No comments: