728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
12 September 2012

Hii ndio Apple iPhone 5 | Picha, Uzuri na Sifa zake

Baada ya kusubiriwa kwa hamu kubwa na kwa muda mrefu, Leo Apple wamezindua toleo jipya la iPhone iitwayo iPhone 5 toleo ambalo limekuja huku wengi wakiwa wametarajia mengi na makubwa kutoka katika simu hiyo lakini zaidi ya vichache vilivyoongezwa hakuna ambacho ni kipya kabisa katika toleo hili.
Katika pita pita zangu nimefanikiwa kuona baadhi ya sifa za iPhone 5 nyingi zikiwa zile zile tofauti zikiwa ni maboresho tuu ukilinganisha na 4s...
Zifuatazo ni baadhi ya sifa hizo

#1- Ukubwa wa screen sasa umeongezwa na kufikia 4 inch. Ikiruhusu Application tano katika mstari mmoja
#2- Speed yake ya ku surf katika mitandao ni uwezo wa 4G ikiweza kupakua hadi 100Mbps
#3- Wembamba umeongezwa kwa asilimia 18% ukilinganisha na 4s hii ikiwa na wembamba wa 6.6mm
#4- Nyepesi kwa zaidi ya 20% ukilinganisha na 4s ambapo iPhone 5 ina uzito wa Gram 112 tuu
#5- Uwezo wa kukaa na charge sasa ni zaidi ya masaa 8 kwa maongezi katika 3G na masaa kumi katika ku surf
#6- Upande wa camera ni sawa na wa 4s ila ikiwa na ongezeko la speed 40% zaidi ikiweza kupiga picha zenye muonekano mzuri zaidi hata wakati wa usiku

#7- Siri sasa ikiwa nayo haijasahaulika na imeongezewa uwezo zaidi wa kunasa na kuielewa na kufanya kinachotoka katika sauti yako


#8- Matoleo mawili ya rangi White & Black | na bei itakuwa ikiuzwa sawa na iPhone 4S nikimaanisha
#9- Kwa msaada wa A6 Chip, iPhone 5 imewezeshwa kuwa na Fastest CPU performance ikimaanisha kwamba, ufunguaji wa app, kusurf katika internet na kila kitu kitakuwa kinafanyika katika speed ya ajabu

-$199 for 16GB. 
-$299 for 32GB, 
-$399 for 64GB.

©2012 Nolniz Blog™
Hii ndio Apple iPhone 5 | Picha, Uzuri na Sifa zake Reviewed by Nolniz on Wednesday, September 12, 2012 Rating: 5 Baada ya kusubiriwa kwa hamu kubwa na kwa muda mrefu, Leo Apple wamezindua toleo jipya la iPhone iitwayo iPhone 5 toleo ambalo limekuja huk...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: