728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
04 September 2012

KREW toka Kenya Ndani ya ARUSHA


Mc's toka 254 aka Kenya wanaokwenda kwa jina "KREW" wanadrop na kazi mpya zilizoundwa pande za noizmekah.com chini ya Defxtro wakiwashirikisha Banx katika "nikiwa mtaa" na pini la "weekend" wakimshirikisha mwanadada Narx" katika kiitikio. KREW" ni umoja wa wasanii wawili; Junior na Jaypizzo wenye mwamko zaidi katika kufanya muziki wa Hiphop na crunk, Tunafurahi kuvuka border kimuziki kwa maana safari yetu ndio kwanza tumeanza,Much Respect kwa Mkurugenzi wa MamboJambo Radio Arusha alietupa connection kuwakilisha katika Summer Jam siku ya Iddi pamoja na kutuwezesha kurekodi nyimbo tatu kwa DefXtro.Hii ni hatua nzuri kwetu maana sasa tracks zimeongezeka mbali na "High School," Muggin, 'na Bye Baby",ambazo tulisharecord Underdawg Productions na Sniper Recs Huku Kenya..For interviews/Booking/Projects wasiliana +254 725784770 na +254 725085980...
Enjoy "Nikiwa Mtaa" tuliomshirikisha Banx

 

©2012 Nolniz Blog™
KREW toka Kenya Ndani ya ARUSHA Reviewed by Nolniz on Tuesday, September 04, 2012 Rating: 5 Mc's toka 254 aka Kenya wanaokwenda kwa jina " KREW " wanadrop na kazi mpya zilizoundwa pande za noizmekah.com chini ya Defx...

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: