Siku ya ijumaa vyombovingi vya habari nchini Marekani vilitawaliwa na habari ya kuonekana kwa video ya ngono (Sex tape) ya Kanye West ikifanyiwa mauzo huku picha katika kava la Video hiyo likiwa swali na utata mkubwa.
Lakini sasa mwanasheria wa Kanye West ameibuka na kusema kweli sex Tape hiyo ipo na kwamba ilichukuliwa kutoka katika kompyuta ambayo iliibiwa nyumbani kwa Kanye.
Mpaka sasa mtandao uliokua ukiuza tape hiyo umepewa amri ya kusitisha kuitoa video hiyo ikiwa ni pamoja na screen shot zake. Akiongelea hilo Mwanasheria Lisa M. Buckley amesema, screen shot ya mkanda huo wa video pamoja na clip ambayo screenshot hiyo ilipigwa vimetoka katika computer iliyoibwa nyumbani kwa Kanye.
Kamahukuwa umezipata habari hizi kwa ufupi ni ni kwamba, imepatikana video ambayo inamuonesha Kanye West akifanya mapenzi na mwanamke ambaye mpaka sasa hajajulikana bado kuwa ni nani ambaye alijitambulisha kwenye camera kwamba ana miaka 18 na ameolewa. Ila ukweli kuhusu video hiyo ya ngono ni ilirekodiwa kabla hata ya Kanye na Kim Kardashian hawajaanza mahusiano yao ya kimapenzi.
©2012 Nolniz Blog™

No comments: