728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 September 2012

Mambo Jambo Radio katika Vodacom Mpesa promotion mjini Hedaru,Same

Kampuni ya mtandao wa mawasiliano Tanzania,vodacom.leo inaendeleza promosheni yake ya mji hadi mji "M-pesa Tumekufikia" ukanda wa kaskazini mjini Same mkoani Kilimanjaro.
Akizungumza na team ya Mambo Jambo radio inayozunguka na wana vodacom kanda ya kaskazini,mkuu wa wa msafara Bw.kahabi amesema promosheni ya "tumekufikia" ni endelevu na inalenga kuwaelimisha wananchi kuhusu huduma ya malipo ya "mpesa" sambamba na kujishindia zawadi mbalimbali na punguzo maalum kwa simu za mkononi kutoka vodacom.
Promosheni hio ilianza mji mdogo wa Hedaru na itaendelea,Same mjini,Moshi mjini,Usa riverTtengeru,Arusha mjini pamoja na Babati mjini.
Bw.Abdallah,afisa mwakilishi na msimamizi wa msafara asema "Wakazi wa Same mjini "tumewafikia",lengo kuu ikiwa ni kuwaelimisha juu ya kujisajili m-pesa,umuhimu wa kutunza namba za siri pamoja na viwango vya kutuma na kupokea fedha" hivyo fikeni kwa wingi leo tarehe 14/09/2012 saa nane na kuendeles katika promosheni yetu ya wazi eneo la stendi ya same mjini kwa maana pia mapacha watatu watatumbuiza vilivyo"


©2012 Nolniz Blog™
Mambo Jambo Radio katika Vodacom Mpesa promotion mjini Hedaru,Same Reviewed by Nolniz on Friday, September 14, 2012 Rating: 5 Kampuni ya mtandao wa mawasiliano Tanzania,vodacom.leo inaendeleza promosheni yake ya mji hadi mji "M-pesa Tumekufikia" ukanda wa ...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: