728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
15 September 2012

UZINDUZI WA "JITAMBUE KWANZA" BLOG


Ujumbe kutoka JITAMBUE KWANZA BLOG..
 "Ninayo furaha sana kwa ndugu jamaa, marafiki na wadau wote wa blogs na vyombo vyote vya habari vya hapa Tanzania, kwani bila nyie ni sawa na mshumaa kuwaka bila uzi. Hivyo nakubali na kutambua mchango wenu katika jamii kwani ninyi ndio mnaoifanya dunia kuwa kijiji."

Wadau wote naomba sapoti yenu kwa kuzindua blog yetu ya kijamii inayoitwa JITAMBUE KWANZA yani www.jitambuekwanza.blogspot.com. Blog hii imeanzishwa na vijana wa kitanzania walioko sehemu mbali mbali duniani. Jitambue kwanza itazungumzia kwa undani sana mahusiano katika ndoa, mahusiano kabla na nje ya ndoa, jinsi ya utunzaji familia, utunzaji wa ngozi, ushauri nasaha, afya na hatari zote za kijamii zinazopelekea jamii yetu ya kitanzania kudhurika.

Shukurani zangu za dhati ziwafikie bloggers woote wa Tanzania kwa juhudi zao za kufikisha habari kwa jamii kwa muda muafaka. Pia pongezi zenu watangazaji woote mnaohabarisha jamii kwa uharaka zaidi bila kujali ni usiku au mchana, pia 100% kwa Djs woote, kwani bila nyie nchi nzima, kutakuwa hakuna raha. Mwisho kabisa ni kwa wasomaji woote wa blogs, kwasababu bila nyie, tunamwandikia nani? hongereni sana na karibu www.jitambuekwanza.blogspot.com.
©2012 Nolniz Blog™
UZINDUZI WA "JITAMBUE KWANZA" BLOG Reviewed by Nolniz on Saturday, September 15, 2012 Rating: 5 Ujumbe kutoka JITAMBUE KWANZA BLOG..  "Ninayo furaha sana kwa ndugu jamaa, marafiki na wadau wote wa blogs na vyombo vyote vya habari...

Labels:

[News][carousel1]

2 comments: