Akiiwakilisha A City na Weusi kwa ujumla, Bonta Concious Akiongea na Nolniz Blog amewataka fans wake wote na fans wa Mziki mzuri (GM) kujua kwamba yupo katika hatua za mwisho katika kuiachia ngoma yake mpya aliyoifanya ndani ya Studio za Mo Record kitaa cha Mwanza Mwanza.
Track hiyo ya Tukutane Maktaba imefanyika Mo Record Producer akiwa ni Q THE DON akishirikiana na AZARD.
Bonta ni moja ya wasanii wakali toka Arusha na Tanzania kwa ujumla na ni kati ya wasanii 10 walioshirikishwa katika ile Epic Collabo "WAZI" ambayo waweza download hapo chini
Kama kawaida usikose kuendelea tembelea Nolniz Blog kupata info mpyaa na Track kibao!! Kaa mkao, mzigo huo kutoka kwa Bonta utakapoachiwa tuu utasomeka pande hizi!
Kuwa wa kwanza kuisikia ngoma hii, kuwa wa Kwanza kuusapoti mziki mzuri....
UPDATESNGOMA IMESHAACHILIWA | BONYEZA HAPA KUDOWNLOAD
No comments: