Hii ni Moja kati ya Kanda Mseto Bora zinazokuja Ikiwa Tayari imeshafanyika Ngoma moja Ambayo imewajumisha Viva Conscious , Kevoo kutoka Tamaduni , Muu na OSV SHULE KONGWE kutoka Tamaduni.. Na Hii ndio Official Cover ya Ngoma ya Singidani Heros ambayo Inawajumuisha Mcs wenye Asili Ya Singida... Na Hii ndio nGOMA YA Kwanza Ya Kanda mseto hio Verse ya Kwanza : Muu Verse Ya Pili : Viva Conscious Verse Ya Tatu : Kevoo Producer : B Gway Beat By Young Keezy ROCCANA basement
©2012 Nolniz Blog™
©2012 Nolniz Blog™
No comments: