Kwa ufupi Quantrell Wilkes, anayefahamika zaidi kama "quanBeatz", ni rapper/producer kutoka Mid-West ambaye yupo Wanene Entertainment. Ana nyimbo yake mpya anaitwa My City ambayo amemshirikisha Mac Milli wa Street Capital.
Msanii huyu ambaye pia ni Producer ni mmoja kati ya watu wanaoupa tough mziki wa Bongo pande zile za Amerika ambapo anaziupload ngoma za bongo katika Web tofauti zinazotembelewa sana pande hizo na hata hivyo yuko Tayari kufanya kazi na msanii yeyote wa Bongo! Kumtafuta wasiliana tu na Producer Dash Mmiliki wa wanene Entertainment
Jamaa anakuomba kura yako kama ulivyoona hapo juu unaweza kumpigia kura kwenye link utayoina hapo chini
Mpigie kura hapo aka perform kwenye showcase ya Coast2Coast Chicago.
http://coast2coastmixtapes.com/audiodetail.aspx?audioid=200097
..Wanene's In The House...
No comments: