Hizo ni baadhi ya Screenshots za video mpya kabisa ya wasanii Dee Cee na Slim Deezy wakiwa wamemshirikisha Banx. Video imefanyika na Nisher Entertainment huku audio ikiwa imeandaliwa na O'donis, na kufanyiwa recording na DX na John B na pia final touches zikiwa zimefanywa na John B,
Today ni wimbo utakaotambulisha project ya pamoja ya Dee Cee na Slim Deezy itakayoitwa Dislimination, ''Tunataka kuonesha watu upande tofauti wa Arusha alisema Dee Cee, tuna mengi sana kwa ajili ya massive nzima ya Tanzania asema Slim Deezy,, watu wakae mkao tu, ahsanteni
John Blass Mallya
For,
Grandmaster Records, Mega Music, Cannibal Shattah & Makini Music +254729990851,+255787276352
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
No comments: