Louis Hammock |
Baada ya Msanii Louis Hammock Toka Wanene Ent. kuachia Mixtape yake iliyokua ikienda kwa jina la 'Untitled' kwa sasa anafanya tena kazi nyingine mpya chini ya Super Producer toka Utengwani (WATENGWA) Daz Naledge ili kuhakikisha fans wote wa mziki mzuri wanapata wanachokihitaji!!
Producer Daz Naledge |
http://waneneentertainment.com/upcoming/
…Wanene’s In The House…
No comments: