|
Ordinally & Chalii mtoto wa bibi |
Jambo Squad, Mamong'oo manjeree ya ara wanarudi upya kabisa raundi hii wakiwa wamemshirikisha Juma Nature, "Bondi" ndiyo jina la wimbo, verse ya kwanza akiwa amesimama Ordinally,ya pili Chalii mtoto wa bibi na kwenye hook,mtu mzima Juma Nature,, "tunaendelea kusababisha hapa na baba la baba John Blass, fans wetu wakae mkao wa kula tu sasa ni kulalisha kwa fasi,,wasema Jambo Squad
Song; Bondi
Artist(s); Jambo Squad ft Juma Nature
Studio; Grandmaster Records
Prod; John B(John Blass)
Twitter; @grandmastertz
|
Chalii mtoto wa bibi, Ordinally, JanB & Juma Nature |
John Blass Mallya
For,
Grandmaster Records, Mega Music, Cannibal Shattah & Makini Music
+254729990851,+255787276352
www.grandrecs.com
www.prezzomusic.com
No comments: