B-man anayejulikana vema kwa collabo ya "hello" aliyofanya na Matonya round hii anakuja na "Niambie" ikiwa ni bounce track toka noizmekah.com kwa Defxtro humo akiwa amemshirikisha KC toka FBG & Narx ndani ya bounce hilo,support kwa kudownload HAPA ngoma shavu zaidi kwa wadau wote media na fans wa Bman,holla kupitia 0712555030 kwa mahojiano/bookings na Tshirts zangu mpya kibaooooo
New Track | Bee Man ft KC & Narx - Niambie
Reviewed by Nolniz
on
Saturday, November 17, 2012
Rating:
B-man anayejulikana vema kwa collabo ya "hello" aliyofanya na Matonya round hii anakuja na "Niambie" ikiwa ni bounce t...
No comments: