728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
17 December 2012

FUNGA MWAKA LA WEUSI | 2012



Hili linaitwa "FUNGA MWAKA LA WEUSI" Kwa sababu kuu kubwa tatu; KWANZA ni uzinduzi wa wimbo mpya ya LORD EYEZ inayosubiriwa kwa hamu. NA YA PILI ni uzinduzi wa BUM KUBAM DVD kwa mara ya kwanza aina mpya ya usambazaji wa kazi za wasanii utafanyika siku hiyo ya Show ya Milele kutoka kwa G NAKO' 'JOH MAKINI ''NIKKI WA PILI' 'BONTA ''LORD EYEZ NA SUPRIZE PIA HAZITAKOSEKANA....!!

TUKUTANE; MAISHA CLUB
TAREHE; 23/12/012
 KWA KIINGILIO CHA 10000/= TU
FUNGA MWAKA LA WEUSI | 2012 Reviewed by Nolniz on Monday, December 17, 2012 Rating: 5 Hili linaitwa " FUNGA MWAKA LA WEUSI " Kwa sababu kuu kubwa tatu;  KWANZA ni uzinduzi wa wimbo mpya ya LORD EYEZ inayosubir...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: