728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
12 December 2012

(SOON) Wanene Entertainment Underground Hip-Hop Mixtape

Darsh Pandit
Wanene Entertainment ambayo ni moja kati ya Record label inayofanya vyema kwenye game la mziki huu wa kizazi kipya hasa kwa kuwakutanisha wasanii mbali mbali kutoka nje na ndani ya Tanzania na Afrika kwa ujumla yenye makao yake makuu jijini Arusha, hivi karibuni inampango wa kuachia Mixtape kama fungua mwaka mapema mwakani!
Anto'Neyo 


Akiongelea hilo Darsh Pandit C.E.O wa Wanene Ent amenijuza kwamba wanatarajia kuachia mixtape hiyo mwezi wa kwanza mwakani (2013) na kwamba mixtape hiyo itakuwa na ladha tofauti ambayo haijapata tokea na kwamba anawaamini wasanii wake kwa uwezo walionao na vitu wanavyoweza kufanya muda na wakati wowote ule....
Gentriez
Akiongelea juu ya nani na nani watakuwepo kwenye mixtape hiyo Darsh alimtaja mtu mzima Anto'Neyo ama waweza muita The Artist, pia kutoka Arusha Tanzania (Arusha Boy) Gentriez Mwakitabu naye atakuwepo kwenye toleo hilo bila kumsahau Louis Hammock
Louis Hammock

Akiongelea upande mwingine wa nani atadeal na isue za production Darsh anasema hilo lipo chini yake yeye kama Producer na mkono wake ndo utahusika zaidi na fans wa mziki mzuri wasubirie na wataelewa anachomaanisha....
"....itakuwa ina mistari za kutosha yani; bars after bars after bars.... na itakuwa strictly Hip Hop kwa fans.." 
(SOON) Wanene Entertainment Underground Hip-Hop Mixtape Reviewed by Nolniz on Wednesday, December 12, 2012 Rating: 5 Darsh Pandit Wanene Entertainment ambayo ni moja kati ya Record label inayofanya vyema kwenye game la mziki huu wa kizazi kipya hasa kwa...

Labels:

[News][carousel1]

No comments: