728x90 AdSpace

MPYA

[recent][ticker2]
14 January 2013

Download New Music | Viva Conscious Ft Tash - Punch Vocal (Prod.Mesen Selekta) De Fatality Music

Huu Ni Wimbo Mpya Wa Viva Conscious

Ikiwa ni mwaka 2013 Akimshirikisha Tash ..Star wa Chapia…Ngoma Ikipikwa chini ya Producer Mesen Selekta.Hii Ni Ngoma ya kwanza Kwa Mwaka Huu ya Star huyu wa Sugar cane ,Na Manguli wa Kindai. Na Pia ni ngoma ya kwanza kutoka katika album yake ambayo itatoka Mwishoni mwa mwaka itakayoitwa Brave Mind Vol2. Ambayo Nyimbo Baadhi kutoka Katika album yake zimeanza kuuzwa katika mtandao wa East African Tunes.
Pakua Wimbo Hapa Upate kuendelea Kumfahamu vema Viva Conscious.

CONTACTS: 
Email :Joseph-stephen@live.com
+255713259377 
www.facebook.com/Josephviva
www.twitter.com/vivaconscious
www.rapgenius.com/vivaconscious
www.numberonemusic.com/vivaconscious
www.reverbnation.com/label/vivaconscious 
www.vivaconscious.tk
 
Download New Music | Viva Conscious Ft Tash - Punch Vocal (Prod.Mesen Selekta) De Fatality Music Reviewed by Nolniz on Monday, January 14, 2013 Rating: 5 Huu Ni Wimbo Mpya Wa Viva Conscious

Labels:

[Music][carousel1]

No comments: