Alikuwa ni kati ya washindi wawili katika mashindano yaliyofanyika mwaka jana ya freestyl yaliyokuwa yanaenda kwa jina la 'Nokiadon'tbreakthebeat'.Kadondosha ngoma yake iliyofanyika kwa Lamar FishCrab na amesema kuwa yuko katika mazungumzo na Lamar ili afanye kazi katika lebo hiyo.
[By Anna Peter]
No comments: